
Pogba amezidi kun'gara katika mchezo baada ya kuifungia United magoli 2 katika ushindi wa magoli 3 dhidi ya Fulham.
Katika mchezo huo Paul Pogba aliyeibuka "Man of the Match" kwa kuweka wavuni magoli yake mawili huku bao la tatu likifungwa na Anthony Jordan Martial.

Ushindi huu unawafanya United kupanda hadi nafasi ya nne katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza (EPL)
No comments:
Post a Comment