Lady Gaga ameahidi kufuta wimbo huo kwenye mitandao ya kusikiliza na kupakua nyimbo mtandaoni na pia ameomba radhi kwa kuwahi kufanya kazi na R Kelly. Filamu ya Surviving R Kelly imepata mtazamo hasi baada ya wanawake tofautitofauti kutoa ushuhuda.
Chance The Rapper akiwa miongoni mwa wasanii waliochukizwa na tuhuma za R Kelly alitoa taarifa kuwa anajutia kuwahi kufanya kazi na nguli huyo.
No comments:
Post a Comment