Baada ya Mwanamitindo Hamisa Mobetto kuachia ngoma yake ya kwanza Madam Hero na kuonekana kufanya vizuri, sasa ameamua kukuletea hii nyingine tena kutokea nchini Marekani akiwa na Mmarekani wake anakuambia ‘Tunaendana’. Cheki Mahaba ya Hamisa Mobetto na mpenzi wake Mmarekani
No comments:
Post a Comment