Klabu ya soka ya Chelsea imelipwa
paundi milioni 150.8 na chama cha soka cha England FA baada ya kushinda
ubingwa wa ligi kuu msimu wa 2016-17.
Timu iliyoshika mkia kabisa Sunderland imepata Paundi milioni 93.471.
Fedha hizo zinatokana na matangazo ya Televisheni, mikataba ya kibiashara sambamba na zawadi.
No comments:
Post a Comment