Msimamo wa ligi kuu England (EPL) 13/ 02/ 2019
Manchester City yazidi kujiweka kileleni ikiongoza ligi kwa alama 65, huku akifuatiwa na Liverpool waliyelingana alama, wote alama 65 tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa, na nafasi ya tatu ikishikiliwa na Tottenham Hotspur mwenye alama 60 huku Man United akipanda hadi nafasi ya 4 kwa alama 51.
No comments:
Post a Comment