Mchezo huu wa fainali utachezwa
katika dimba la Friends mjini Stockholm, kuanzia saa nne kasoro robo
kwa saa za Afrika mashariki na mwamuzi wa mchezo huo atakua Damir
Skomina raia wa Slovenia.
Ajax tayari wana nafasi ya kucheza klabu bingwa ulaya msimu ujao kwa kuwa wamemaliza ligi ya kwao nchini Uholanzi wakiwa katika nafasi ya pili.
No comments:
Post a Comment